Hutu
Mandhari
Kiswahili
[hariri]Nomino
[hariri]Hutu (wingi Wahutu)
- Ni neno la kutaja Wahutu. Umbo la neno ni Kiingereza. Kwa Kiswahili ni Wahutu.
- kabila la watu wanaoishi katika nchi za Rwanda na Burundi, pamoja na maeneo mengine ya Afrika ya Kati.
Idadi ya Wasemaji
[hariri]Inakadiriwa kuwa kuna takribani watu milioni 9 hadi 10 wanaotambulika kama Wahutu.
Maeneo ya Makazi
[hariri]Wahutu wanapatikana hasa katika nchi za Rwanda, Burundi, na pia sehemu za Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na Tanzania.