Nenda kwa yaliyomo

Yelena Dembo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Dembo akiwa Iraklion mwaka 2007

Yelena Dembo (alizaliwa 8 Desemba 1983) ni mchezaji wa chess wa Ugiriki, ambaye anashikiria majina ya Mwalimu wa Kimataifa na Bibi mashuhuli. Yeye pia ni mwalimu na mwandishi wa chess.[1]

Historia ya kifamilia

[hariri | hariri chanzo]

Dembo alizaliwa Desemba 8, 1983 huko Penza, Urusi. Alianza kusoma kwa mara ya kwanza alipokuwa na umri wa miaka miwili na nusu na akiwa na umri wa miaka mitatu na miezi tisa, alicheza kwa mara ya kwanza katika mashindano ya chess kati ya wavulana chini ya miaka kumi na mbili, na kumwezesha kuwa mchezaji wa chess aliyekadiriwa.

Mama yake Dembo, Nadezhda Fokina [2]ni USSR Master of Sportkwenye michezo ya chess, mtaalamu wa lugha, mwandishi wa habari wa chess na mkufunzi.

  1. "The chess games of Yelena Dembo". www.chessgames.com. Iliwekwa mnamo 2023-03-14.
  2. "Log in or Subscribe – ChessCafe.com" (PDF). chesscafe.com. Iliwekwa mnamo 2022-12-10.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Yelena Dembo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.