Wilaya za Uganda
Mandhari
Uganda |
Makala hii imepangwa kwa mfululizo: |
|
Nchi zingine · Atlasi |
Uganda imegawanywa katika wilaya 135 na mji mkuu wa Kampala [1]. Kila wilaya ni sehemu ya mmoja wa mikoa minne. Wilaya mpya 7 zimeanza kazi rasmi tarehe 1 Julai 2019 zikifisha idadi kuwa 135.
Wilaya nyingi zimepewa majina kulingana na miji mikubwa ya biashara na utawala.
Kila wilaya hugawanywa zaidi katika wilaya ndogo, kaunti, kaunti ndogo n.k.
Kiongozi mchaguliwa wa kila wilaya ni Mwenyekiti wa Baraza la Mitaa.
Chini ni takwimu ya idadi ya watu kadiri ya sensa ya mwaka 2014[2]
|
|
|
|
Wilaya mpya
[hariri | hariri chanzo]Mnamo Septemba 2015, Bunge la Uganda liliamua kuanzisha wilaya mpya 23 katika miaka minne ya mbele. Hizo ni:[3]
Tarehe rasmi ya kuanza | Wilaya mpya | Wilaya mzazi |
---|---|---|
1 Julai 2016 | Kagadi | Kibaale |
Kakumiro | Kibaale | |
Omoro | Gulu | |
Rubanda | Kabale | |
1 Julai 2017 | Namisindwa | Manafwa |
Pakwach | Nebbi | |
Butebo | Pallisa | |
Rukiga | Kabale | |
Kyotera | Rakai | |
Bunyangabu | Kabarole | |
1 Julai 2018 | Nabilatuk | Nakapiripirit |
Bugweri | Iganga | |
Kasanda | Mubende | |
Kwania | Apac | |
Kapelebyong | Amuria | |
Kibuube | Hoima | |
1 Julai 2019 | Obongi | Moyo |
Kazo | Kiruhura | |
Rwampara | Mbarara | |
Kitagwenda | Kamwenge | |
Madi-Okollo | Arua | |
Karenga | Kaabong | |
Lusot | Moroto |
Angalia pia
[hariri | hariri chanzo]Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Je, uchumi wa Uganda unaweza kuhimili wilaya zaidi?" Archived 29 Mei 2015 at the Wayback Machine. New Vision, 8 Agosti 2005
- ↑ "National Population and Housing Census 2014 Main Report" (PDF). Uganda Bureau of Statistics.
- ↑ "Uganda Work Plan" (PDF). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2017-12-03. Iliwekwa mnamo 2019-03-20.
- ISO 3166-2 codi za wilaya nchini Uganda ISO 3166-2:UG
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Habari kuhusu Wilaya Archived 4 Agosti 2007 at the Wayback Machine. wa Tume ya Mawasiliano ya Uganda.
- Wizara ya Serikali ya Mitaa Archived 18 Septemba 2010 at the Wayback Machine.
- Wajumbe wa Bunge
- statoid site
- Uganda Bureau of Statistics