Wannabe
Mandhari
“Wannabe” | ||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Single ya Spice Girls kutoka katika albamu ya Spice | ||||||||||||||
B-side | "Bumper to Bumper" | |||||||||||||
Imetolewa | 26 Juni 1996 (Japan) 8 Julai 1996 (UK) 26 Agosti 1996 (Australia) 14 Januari 1997 (U.S.) | |||||||||||||
Muundo | Vinyl record (12"), cassette, CD single | |||||||||||||
Imerekodiwa | 1995 | |||||||||||||
Aina | Dance pop, teen pop, bubblegum pop | |||||||||||||
Urefu | 2:52 (toleo la albamu) 4:11 (Muziki wa Video) | |||||||||||||
Studio | Virgin Records | |||||||||||||
Mtunzi | Matt Rowe Richard Stannard Spice Girls | |||||||||||||
Mtayarishaji | Matt Rowe Richard Stannard | |||||||||||||
Mwenendo wa single za Spice Girls | ||||||||||||||
|
"Wannabe" ni wimbo wa kundi la muziki wa pop la Kiingereza la Spice Girls. Ulitolewa ukiwa kama single ya kwanza, na unafikirika kama ndiyo wimbo ambao ndiyo alama yao.[1] Wimbo huu umetungwa na Spice Girls wenyewe, Richard Stannard na Matt Rowe kwa ajili ya albamu yao ya kwanza ya Spice.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Kingsley, Madeleine. "'(au nom de Geri)'" Archived 31 Oktoba 2007 at the Wayback Machine.. Hello! Magazine. Machi 2007. Retrieved 3 Novemba 2007.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Spice Girls official site Archived 17 Mei 2008 at the Wayback Machine.
- "Wannabe" audio Archived 11 Novemba 2007 at the Wayback Machine.
- "Wannabe" music video - The Official Spice Channel on Youtube
Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Wannabe kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |