Nenda kwa yaliyomo

Wafiadini wa Pentekoste wa Aleksandria

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Wafiadini wa Pentekoste wa Aleksandria (walifia dini Aleksandria, Misri, 339) walikuwa Wakristo Wakatoliki wa mji huo, wakiwemo wanaume na wanawake, ambao waliuawa kwenye Pentekoste kwa amri ya askofu Mwario Joji chini ya kaisari Konstans II, ila wengine walipelekwa tu uhamishoni [1].

Tangu kale wanaheshimiwa kama watakatifu wafiadini.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 21 Mei[2][3].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.