Viwakilishi vya amba-
Mandhari
Mifano |
---|
|
Viwakilishi vya amba ni neno/maneno yanayosimama badala ya nomino kwa kutumia mzizi wa amba-.
- Mifano
- Ambaye amemaliza aje
- Ambalo lina kutu litatupwa
- Ambazo zimeiva zitaliwa
- Ambayo imejengwa bondeni itabomolewa
- Ambacho kina sumu kitatupwa shimoni
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Viwakilishi vya amba- kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |