Vinsenti Grossi
Mandhari
Vinsenti Grossi (Pizzighettone, karibu na Cremona, 9 Machi 1845 – Vicobellignano, 7 Novemba 1917) alikuwa padri wa Kanisa Katoliki kutoka Italia Kaskazini.
Pamoja na kuhudumia parokia yake kwa miaka 34, alianzisha shirika la kitawa la Mabinti wa Oratori[1].
Alitangazwa mwenye heri na Papa Paulo VI tarehe 1 Novemba 1975, halafu mtakatifu na Papa Fransisko tarehe 18 Oktoba 2015[2].
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake[3].
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ https://www.santiebeati.it/dettaglio/76650
- ↑ Holy mass and canonization of the blesseds: Vincenzo Grossi, Mary of the Immaculate conception, Ludovico Martin and Maria Azelia Guérin, Homily of his holiness Pope Francis Saint Peter's Square 29th Sunday in Ordinary Time, 18 October 2015 vatican.va
- ↑ Martyrologium Romanum
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Grossi, santo, su Treccani.it – Enciclopedie on line, Istituto dell'Enciclopedia Italiana
- Hagiography Circle Ilihifadhiwa 23 Februari 2022 kwenye Wayback Machine.
- Saints SQPN
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |