Viktoria wa Culusi
Mandhari
Viktoria (au Victrix) alikuwa mwanamke Mkatoliki aliyeuawa huko Culusi (kwa Kilatini: Colusitana, Culcitana, leo nchini Tunisia) katika karne ya 5, wakati wa utawala wa mfalme wa Wavandali Huneriki aliyekuwa Mwario.
Viktoria aliangikwa juu ya moto. Mume wake alimsihi akane imani yake kwa kuwafikiria watoto wao, lakini yeye alikataa.
Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 6 Desemba pamoja na Dionisya wa Vita na wenzake (dada yake Dativa, Leonsya, Tersyo, Emiliani, Bonifasi, mbali ya mtoto wake Majoriko)[1] .
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Ambrasi, Domenico (1 Feb 2001). "Santi Dionisia, Dativa, Leonzia, Terzo, Emiliano, Bonifacio, Maiorico e Servo Martiri". Santi e beati. Iliwekwa mnamo Februari 18, 2009.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- (Kiitalia) Santi Dionisia, Dativa, Leonzia, Terzo, Emiliano, Bonifacio, Maiorico e Servo
- (Kihispania) Santa Dionisia y compañeros mártires
- (Kinorwei) De hellige Dionysia og Majoricus ( -484)
- St. Dionysia
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |