Nenda kwa yaliyomo

Vikta wa Vita

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Vikta wa Vita (kwa Kilatini: Victor Vitensis, alizaliwa 430 hivi) alikuwa askofu wa Kanisa Katoliki katika mji wa Vita, huko Byzacena.

Alipata umaarufu kwa kuandika mfululizo wa vitabu vitatu kuhusu Historia persecutionis Africanae Provinciae, temporibus Genserici et Hunirici regum Wandalorum (yaani Historia ya dhuluma katika Jimbo la Afrika, wakati wa Genseriki na Huneriki, Wafalme wa Wavandali)[1].

Matoleo ya maandishi yake

[hariri | hariri chanzo]
  • Early editions of Victor are found in Migne, Patrologia Latina, LVIII.[2]
  • Karl Felix Halm (Berlin, 1879) in Mon. Germ. Hist.: Auct. Antiq., III, 1; and Petchenig (Vienna, 1881); Corpus Scrip. Eccles. Lat., VII; Ferrere, De Victoris Vitensis libro qui inscribitur historia persecutionis Africanae Provinciae (Paris, 1898).
  • Victor of Vita. History of the Vandal Persecution. Translated by John Moorhead, (Translated Texts for Historians; 10). Liverpool, 1992.

Marejeo mengine

[hariri | hariri chanzo]
  • A. H. Merrills, "totum subuertere uoluerunt: ‘social martyrdom’ in the Historia persecutionis of Victor of Vita", in Christopher Kelly, Richard Flower, Michael Stuart Williams (eds), Unclassical Traditions. Vol. II: Perspectives from East and West in Late Antiquity (Cambridge, Cambridge University Press, 2011) (Cambridge Classical Journal; Supplemental Volume 35), 102–115.
  • Danuta Shanzer, 'Intentions and Audiences: History, Hagiography, Martyrdom, and Confession in Victor of Vita's Historia Persecutionis' in A.H. Merrills (ed.) Vandals, Romans and Berbers: New Perspectives on Late Antique North Africa (Aldershot, Ashgate Publishing Limited, 2004), pp. 271–290.
  • Peter Heather, 'Christianity and the Vandals in the Reign of Geiseric', Bulletin of the Institute of Classical Studies 50 (2007), pp. 137–146.
  1. Wickham, Chris (2009). "Chapter 4". The Inheritance of Rome: A History of Europe from 400 to 1000 (kwa Kiingereza). Penguin UK. ISBN 978-0-14-190853-3.
  2. "Migne Patrologia Latina - Rerum Conspectus Secundum Volumina Collectus".

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.