Nenda kwa yaliyomo

Tunisair

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Ndege aina ya Airbus A320-200)Tunisair ni shirika la ndege linalopatikana ndani ya nchi ya Tunisia
Nembo ya Tunisair

Tunisair (Kiarabu: الخطوط الجوية التونسية‎) ni ndege kee ya nci ya Tunisia. Ilianzishwa mnamo 1948, na inasafiri hadi bara Uropa, Afrika na nchi za Arabuni. Makao ya ndege zake ni kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Tunis-Carthage.

Historia

[hariri | hariri chanzo]

Mnamo 1948, serikali ya Tunisia ilikubaliana na kampuni ya Air France kuunda Tunisair. Ilianza huduma mnamo 1949. Mnamo 1957, hisa zilizokuwa za Air France zilipunguzwa na serikali ya Tunisia ndiyo iliyokuwa mmiliki mkuu wa Tunisair.

Mnamo 1990, ndege mbili za Airbus A320 zilinunuliwa.

Kati ya 1993-1998, Tunisair ilipanua huduma zake hadi bara Uropa kwa kuanzisha ndege hadi mjini Prague, Budapest, Warsaw, Bratislava, Lisbon, Linz, Salzburg, Graz, Moscow, Beirut na Stockholm.

Mnamo 21 Oktoba 1998 Tunisair ilisherehekea miaka hamsini tangu ianzishwe.

Tunisair aina ya Airbus A320-200 inatuwa kwenye uwanja wa ndege wa London Heathrow. (2007)
Tunisair aina ya Airbus A300-600

Miji inayosafiria

[hariri | hariri chanzo]
  • Algeria
    • Algiers - Houari Boumedienne Airport
    • Oran Es Senia Airport
  • Egypt
    • Cairo International Airport
  • Libya
    • Benghazi - Benina International Airport
    • Tripoli International Airport
  • Morocco
  • Tunisia
    • Djerba - Zarzis International Airport
    • Gafsa - Ksar International Airport
    • Monastir International Airport
    • Sfax - Thyna International Airport
    • Tabarka - 7 Novembre International Airport
    • Tozeur - Nefta International Airport
    • Tunis - Tunis-Carthage International Airport Makao ya ndege
  • Austria
    • Vienna International Airport
  • Ubelgiji
    • Brussels Airport
  • Ufaransa
    • Bordeaux - Mérignac Airport
    • Lyon-Saint Exupéry Airport
    • Marseille Provence Airport
    • Nice - Côte d'Azur Airport
    • Paris
      • Charles de Gaulle Airport
      • Paris-Orly Airport
    • Strasbourg Airport
    • Toulouse - Blagnac Airport
  • Ujerumani
    • Berlin - Schönefeld Airport
    • Düsseldorf Airport
    • Frankfurt Airport
    • Hamburg Airport
    • Munich Airport
  • Ugiriki
    • Athens - Eleftherios Venizelos Airport
  • Italia
    • Milan - Malpensa Airport
    • Palermo Airport
    • Rome - Leonardo da Vinci Airport
  • Luxembourg
    • Findel Airport
  • Netherlands
    • Amsterdam Airport Schiphol
  • Portugal
  • Serbia
    • Belgrade Nikola Tesla Airport
  • Spain
    • Barcelona Airport
    • Madrid - Barajas Airport
  • Switzerland
    • Geneva International Airport
    • Zürich Airport
  • Uturuki
    • Istanbul - Atatürk International Airport
  • Ulaya
    • London Heathrow Airport

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]