Tove Jansson
Mandhari
Tove Marika Jansson (9 Agosti 1914 - 27 Juni 2001) alikuwa mwandishi wa riwaya, mchoraji wa katuni wa Ufini anayezungumza Kiswidi.
Jansson alilelewa na wazazi wasanii, alianza kusoma sanaa miaka 1930-1938 huko Stockholm, Helsinki na Paris.
Wakati huo huo alikuwa akiandika hadithi fupi na makala kwa ajili ya kuchapisha. Jansson akliandika vitabu vya Moomin na Great Flood mnamo mwaka 1945 kwa ajili ya watoto.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Hans Christian Andersen Awards". International Board on Books for Young People (IBBY). Retrieved 2013-08-01.
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Tove Jansson kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |