The Fame
The Fame | |||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Studio album ya Lady Gaga | |||||||||||
Imetolewa | 19 Agosti 2008 (tazama historia ya kutolewa) |
||||||||||
Imerekodiwa | 2008 | ||||||||||
Aina | Pop, dansi,[1] electronic[2] | ||||||||||
Lebo | Streamline,[3] Kon Live, Interscope, Cherrytree[4] | ||||||||||
Mtayarishaji | RedOne, Space Cowboy, Rob Fusari, Martin Kierszenbaum, Brian Kierulf na Joshua M. Schwartz (wa KNS production) | ||||||||||
Wendo wa albamu za Lady Gaga | |||||||||||
|
The Fame ni albamu ya kwanza ya mwanamuziki wa pop dansi wa Marekani Lady Gaga. Albamu ilitolewa mnamo mwezi wa Agosti katika mwaka wa 2008 - na ilitolewa chini ya Interscope Records kwa Kanada na baadhi ya nchi za Ulaya. Toleo la pili la albamu hiyohiyo iliyokuwa na baadhi ya nyimbo tofauti kadhaa na ilitolewa kunako tar. 15 Novemba 2008 kwa ajili ya Australia tu. Kunako tar. 28 Oktoba ya mwaka wa 2008, albamu ilitolewa kwa nchi ya Marekani. Kunako tar. 9 Januari ya mwaka wa 2009, albamu ilitolewa kwa ajili ya nchi ya Ireland na UK, hadi kufikia 12 Januari 2009.
Albamu ilifikia katika chati za Billboard Electronic Albums na vilevile kushika cha za Kanada na Ireland pia. Single mbili za mwanzo kutoka katika albamu hiyo ni pamoja na "Just Dance" na Poker Face", zimepata mafanikio makubwa makubwa dunia nzima na pia kushika chati kibao za Marekani na Uingereza pia.
Orodha ya nyimbo
[hariri | hariri chanzo]- "Just Dance"
- "Love Game"
- "Paparazzi"
- "Beautiful, Dirty, Rich"
- "Eh, Eh (Nothing Else I Can Say)"
- "Poker Face"
- "The Fame"
- "Money Honey"
- "Again Again"
- "Boys Boys Boys"
- "Brown Eyes"
- "Summerboy"
Historia ya Kutolewa
[hariri | hariri chanzo]Mahala | Tarehe | Muundo | Msambazaji |
---|---|---|---|
Kanada | 19 Agosti 2008 | CD, digital download | Interscope |
Ulaya | 29 Agosti 2008 | CD, digital download | Universal Music Group |
Australia | 6 Septemba 2008 | CD, digital download | |
15 Novemb, 2008 | |||
Ujerumani | 19 Septemba 2008 | CD, digital download | |
Ufaransa | 13 Oktoba 2008 | CD, digital download | |
Marekani | 28 Oktoba 2008 | CD, LP, digital download | Interscope |
Italia | 31 Oktoba 2008 | CD, digital download | Universal Music Group |
30 Januari 2009[5] | CD, digital download (new version) | ||
Ireland | 9 Januari 2009 | CD, digital download | Polydor |
Uingereza | 12 Januari 2009 | ||
Hispania | 24 Februari 2009 | CD | Universal Music Group |
Brazil | Machi 2009 | CD | Universal Music Group |
Mauzo na matunukio
[hariri | hariri chanzo]Nchi | Matunukio | Mauzo/usafirishaji |
---|---|---|
Australia | 2x Platinum[6] | 140,000 |
New Zealand | Platinum[7] | 15,000 |
Marekani | 302,839 [8] | |
Poland | Dhahabu | 10,000 |
Uingereza | Dhahabu | 103,000 |
Kanada | 2x Platinum | 130,000 [9] |
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Nick Levine (2008-12-31). "Ones To Watch In 2009: Lady Gaga". Digital Spy. Digital Spy.co.uk. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-01-02. Iliwekwa mnamo 2009-01-08.
- ↑ Adrian Thrills (2009-01-09). "Why The World Is Going Gaga For Electro-pop Diva Stefani". Daily Mail. Mail Online. Iliwekwa mnamo 2009-01-12.
- ↑ "Bio". LadyGaga.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-02-03. Iliwekwa mnamo 2009-01-08.
- ↑ Lady Gaga discographyBillboardRetrieved on 2009-02-04
- ↑ Italy release
- ↑ "Australia The Fame certification". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-03-20. Iliwekwa mnamo 2009-02-25.
- ↑ "RIANZ The Fame certification". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-09-26. Iliwekwa mnamo 2009-02-25.
- ↑ Billboard Biz charts
- ↑ Lady Gaga remains at No. 1