Nenda kwa yaliyomo

Tabuda

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Afrika Kaskazini wakati wa Dola la Roma

Tabuda, Thouda au Tahuda (zamani ilijulikana kamaThabudeos kwa Kilatini)[1] ulikuwa mji wa mkoa wa Mauretania Caesariensis. Mji huu ulikuwa muhimu sana katika Dola la Roma, Ufalme wa Bizanti na Ufalme wa Wavandali, pia unajulikana kwa magofu ya mawe katika oasisi karibu na kijiji cha Sidi Okba, nchini Algeria .

Jimbo jina

[hariri | hariri chanzo]

Jimbo la Tabuda (Tabudensis) katika mkoa wa Numidia kwa sasa ni jimbo jina la Kanisa Katoliki. [2]

Maaskofu maarufu

[hariri | hariri chanzo]
  • Laurent Tétrault, (13 Novemba 1947 Aliteuliwa, 14 Machi 1951 Alifariki)
  • Teodor Bensch (26 Aprili 1951 Aliteuliwa - 1 Desemba 1956)
  • Antonio Añoveros Ataún 25 (25 Agosti 1952 Aliteuliwa - 2 Aprili 1964)
  • Teodor Bensch † (21 Sep 1954 Aliteuliwa Askofu - 1 Desemba 1956)
  • James Louis Flaherty † (8 Agosti 1966 Aliteuliwa - 9 Agosti 1975)
  • Giovanni Innocenzo Martinelli, OFM (3 Mei 1985 - 30 Desemba 2019)
  • Elias Richard Lorenzo, OSB (27 Feb 2020 -) [3]
  1. Amira Khouas; Mohamed Hamoudi; Fatma Khaldaoui; Hamza Mihoubi; Yacine Rabah Hadji (2017). "Subsurface geophysics applied to archaeological investigation of Thabudeos Roman fortress (Biskra, Algeria)". 10 (522). Arabian Journal of Geosciences. doi:10.1007/s12517-017-3260-1. {{cite journal}}: Cite journal requires |journal= (help)
  2. Tabuda catholic-hierarchy.org.
  3. https://www.catholic-hierarchy.org/diocese/d2t11.html

Bibliografia

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu maeneo ya Algeria bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Tabuda kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.