Nenda kwa yaliyomo

Tabaruku

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Tabaruku ya shairi la Milton kutoka kwa William Blake.

Tabaruku ni utangulizi wa kitabu au kazi yoyote ile ya fasihi inayoandikwa na mwandishi mwenyewe.

Insha nyingine yenye maudhui ya kitangulizi huandikwa na mtu, tofauti ni dibaji na huitangulia tabaruku ya mwandishi.

Tabaruku hukaribiana na shukrani kwa watu ambao walisaidia kazi ya fasihi.[1][2]

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. "preface". Dictionary.com. Iliwekwa mnamo Septemba 18, 2013.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "praefātĭo". Iliwekwa mnamo Septemba 18, 2013.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Tabaruku kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.