Sikukuu za Nanenane
Mandhari
Nanenane ni sikukuu ambayo inawahusu wakulima na wafugaji nchini Tanzania.
Jina linatokana na kwamba inaadhimishwa kila mwaka tarehe 8 mwezi wa nane (Agosti).
Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Sikukuu za Nanenane kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |