Siku ya kimataifa ya mtoto wa kike
Mandhari
Siku ya kimataifa ya mtoto wa kike (inajulikana pia kama Siku ya Wasichana; kwa Kiingereza: International Day of the Girls Child) ni siku iliyopangwa na Umoja wa Mataifa katika kuendeleza harakati za usawa wa kijinsia na kuongezea uwezo wa watoto wa kike pamoja na haki zao, kama vile, usawa wa kijinsia, haki ya elimu, haki ya kulindwa dhidi ya ubaguzi, haki za matibabu, kuepushwa na ndoa za lazima na haki nyinginezo.[1] Pia siku hiyo huelezea mafanikio ya watoto wa kike na wanawake kwa jumla[2][3][4].
Kwa mara ya kwanza siku hiyo iliadhimishwa tarehe 11 Oktoba 2012 na inaendelea kuadhimishwa kila mwaka ifikapo oktoba 11 duniani kote.
Marejeo
- ↑ "As Malala Recovers, U.N. Marks International Day of the Girl Child", Los Angeles Times, 11 October 2012.
- ↑ Hendricks, Sarah; Bachan, Keshet (2015). "Because I Am a Girl: The Emergence of Girls in Development". Katika Baksh, Rawwida; Harcourt, Wendy (whr.). The Oxford Handbook of Transnational Feminist Movements. Oxford University Press. uk. 895. ISBN 9780199943494.

Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Siku ya kimataifa ya mtoto wa kike kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |