Siku ya jua
Mandhari
Siku ya jua (ing. solar day) ni muda ambapo Jua linarudia mahali pale pale angani. Muda huu ni tofauti na siku ya nyota. Tofauti hii inatokana na mwendo wa Dunia kwenye mzunguko wake wakati wa siku moja.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Siku ya jua kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |