Nenda kwa yaliyomo

Sam Kerr

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sam Kerr akiwa Chelsea mnamo Februari 2020

Samantha May Kerr (alizaliwa 10 Septemba 1993) ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Australia ambaye anacheza kama mshambuliaji katika klabu ya Chelsea ya Ligi ya Wanawake ya FA(WSL), na timu ya taifa ya wanawake ya Australia, ambayo amekuwa nahodha tangu 2019.

Anajulikana kwa kasi, ustadi wake na ukakamavu akiwa uwanjani,[1] Kerr anachukuliwa kuwa mmoja wa washambuliaji bora zaidi ulimwenguni, na mmoja wa wanariadha wakubwa wa Australia.[2][3]

  1. "Sam Kerr's latest exploits mark her out as one of Australia's greatest athletes | Joey Lynch". the Guardian (kwa Kiingereza). 9 Mei 2022. Iliwekwa mnamo 10 Mei 2022.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. Smith, Rory. "Australia's New Queen". New York Times. Iliwekwa mnamo 7 Machi 2024.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. "Sam Kerr mania heats up as Australia readies to co-host soccer World Cup", 14 July 2023. (en) 
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sam Kerr kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.