Nenda kwa yaliyomo

Ron Ely

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Television series Tarzan

Ronald Pierce Ely (Jun 21, 1938Septemba 29, 2024) alikuwa muigizaji na mwandishi wa riwaya kutoka Marekani. Ely anajulikana zaidi kwa kucheza jukumu la Tarzan katika mfululizo wa NBC wa Tarzan kuanzia mwaka 1966 hadi 1968, na ndie aliekua na jukumu la juu zaidi kwenye filamu ya Doc Savage: The Man of Bronze (1975). Pia aliongoza matangazo ya shindano la Miss America mwaka 1980 na 1981.[1]

  1. "'Tarzan' actor Ron Ely's wife killed; son shot by deputies", October 16, 2019. 
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ron Ely kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.