Patena
Mandhari
Patena ni sahani ya duara inayotumika katika liturujia ya Misa ya Kanisa Katoliki na madhehebu mengine mbalimbali ya Ukristo.
Inaweza kutengenezwa kwa mata mbalimbali, lakini kwa kawaida ni ya dhahabu au fedha kwa heshima ya Mwili wa Kristo unaowekwa juu yake katika umbo la mkate.
Katika Ukristo wa mashariki patena inaitwa diskos (kwa Kigiriki: δισκάριον, diskarion) na ina aina ya mguu chini yake. Mara nyingi imepambwa kwa sura ya Yesu au ya Theotokos (kwa kuwa Bikira Maria alichukua mimba yake).
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu dini ya Ukristo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Patena kama historia yake, matokeo au athari zake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |