Papa Adrian I
Mandhari
(Elekezwa kutoka Papa Adriano I)
Papa Adrian I alikuwa Papa kuanzia tarehe 1/9 Februari 772 hadi kifo chake tarehe 25 Desemba 795[1]. Alitokea Roma, Lazio, Italia[2].
Jina la baba yake lilikuwa Theodorus.
Alimfuata Papa Stefano III akafuatwa na Papa Leo III.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Adrian I kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |