Nenda kwa yaliyomo

Paoneaanga Meyer–Womble

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Paoneaanga Meyer-Womble (kifupi: MWO) ni paoneaanga pa mlima Evans, Colorado, Marekani. Panamilikiwa na kuendeshwa na Chuo Kikuu cha Denver.

Pako karibu na mlima Evans katika Msitu wa Kitaifa wa Arapaho takriban kilomita 60 magharibi mwa Denver, Colorado (USA), katika mwinuko wa mita 326 (futi 14,193).

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu maeneo ya Marekani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Paoneaanga Meyer–Womble kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.