Nenda kwa yaliyomo

Onyeka Onwenu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Onyeka Onwenu (31 Januari 1952 - 30 Julai 2024[1]) alikuwa mwimbaji, mwandishi wa muziki, pia mwigizaji, mwanaharakati wa haki za binadamu na wa masuala ya kijamii, mwandishi wa habari, mwanasiasa na jaji nchini Nigeria[2]. Alikuwa mwenyekiti wa baraza la sanaa na utamaduni katika jimbo la Imo.[3][4]

Mwaka 2013 aliteuliwa kuwa mkurugenzi mtendaji wa baraza la National Centre for Women Development. [5]

Maisha ya awali

[hariri | hariri chanzo]

Onwenu alikulia katika mji mdogo unaoitwa Arondizuogu, Ideato North, Imo State, na alilelewa Port Harcourt. Ni mtoto mdogo kabisa wa kike wa mwanasiasa na mwanaharakati wa masuala ya elimu D.K. Onwenu ambaye alifariki alipokuwa na umri wa miaka minne tu,alifariki kutokana na ajali ya gari jumaa moja baada ya kuteuliwa kama waziri wa elimu,[6][7][8] amemuacha mama mjane mwenye matumaini ya kuwalea watoto watano mwenyewe baada ya familia ya marehemu kukataa mjane huyo kurithi mali za marehemu [9]

  1. Makams, Ahman. "Onyenka Onwenu: Queen Of African Pop Music", 20 October 2012. Retrieved on 21 October 2012. Archived from the original on 2013-09-25. 
  2. "Onyeka Onwenu, Toolz, MI excited about Glo X factor". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 12 Aprili 2014. Iliwekwa mnamo 31 Machi 2014. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. "Charles O'tudor Fetes Onyeka Onwenu", AllAfrica Global Media. Retrieved on 13 August 2010. 
  4. Nwangwu, Onyinyechi. "NCAC Honours Onwenu, Samanja, Others", AllAfrica Global Media. Retrieved on 13 August 2010. 
  5. "Onwenu bags FG appointment". The Nation Newspapers. 21 Septemba 2013. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2014-03-31. Iliwekwa mnamo 21 Septemba 2013.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  6. Amadi, Ogbonna. "Onyeka speaks at 60", Vanguardngr.com, Vanguard Media, 2 March 2012. Retrieved on 4 April 2014. 
  7. "Am I married to the father of my kids? No comment ––––Onyeka Onw". Ghanaian Agenda. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-03-04. Iliwekwa mnamo 4 Aprili 2014.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  8. Adetayo, Ayoola. "Onyeka Onwenu: 10 things about the legendary musician you need to know". (en-US) 
  9. Plight of Widows
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Onyeka Onwenu kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.