Nenda kwa yaliyomo

Oghwevwri

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Oghwevwri ni supu inayopikwa na mafuta ya mnyonyo na inaliwa na watu wa Urhobo kutoka kusini mwa Nigeria. Jina la Oghwevwri" linamaanisha "supu ya mafuta", kinaandaliwa na samaki wa kukaushwa, nyama, hoho, kamba, na mafuta ya mnyonyo. Chakula hichi huliwa na eba, usi, au magimbi. Oghwevwri ni supu maalumu wanayopewa wageni kwenye sherehe za harusi, misibana na hafla zingine za kimila.[1]

  1. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2017-12-01. Iliwekwa mnamo 2022-06-18.