Nenda kwa yaliyomo

Odoo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Odoo ni programu yenye uwezo wa kufanya mambo mbalimbali kama vile biashara ya mtandao, malipo, akaunti, bohari, hesabu ya biadhaa, tovuti, n.k. Programu hii ina matoleo mawili, Community ambayo ni bure, na Enterprise ambayo inauzwa.

Mwaka 2013, shirika lisilo la kiserikali Odoo Community Association [1] lilianzishwa ili kuimarisha maendeleo na matumizi ya programu hii.

Vitabu kadhaa vimeandikwa kuhusu Odoo.[2] some covering specific areas such as accounting[3] or development.[4]

Historia

[hariri | hariri chanzo]

Mwanzilishi na mkurugenzi wa Odoo ni Fabien Pinckaers ambaye mwaka 2005 alitengeneza programu yake ya kwanza TinyERP. Miaka mitatu baadaye ilibadilishwa jina na kuitwa OpenERP.

Historia ya matoleo

[hariri | hariri chanzo]

     Toleo la zamani, hakuna msaada wa kampuni bali msaada wa jamii ya watumiaji tu      Toleo imara[5] still supported      Toleo la sasa      Toleo la mbeleni

Program name Version Release date Significant changes Software license
Tiny ERP 1.0 February 2005 First release GNU GPL
2.0 May 2005 GNU GPL
3.0 September 2005 GNU GPL
4.0 December 2006 GNU GPL
OpenERP 5.0 April 2009 GNU GPL
6.0 January 2011 First web client GNU AGPL[6]
6.1 February 2012 First Ajax web client, discontinued GTK client GNU AGPL
7.0 December 22, 2012 Improved web client and usability GNU AGPL
Odoo 8.0 September 18, 2014 Revamped Inventory and WMS, Support for CMS: Website builder, e-commerce, point of sale and business intelligence GNU AGPL
9.0 October 1, 2015 Revamped Accounting features, Odoo Community split from Odoo Enterprise [7] GNU LGPL v3
10.0 October 5, 2016 Revamped Manufacturing features GNU LGPL v3
11.0 October 5, 2017 Studio, Revamped Services Support, Revamped Reporting, moved to Python 3 [8][9][10] GNU LGPL v3
12.0 October 3, 2018 Document Management, IoT-devices, multi-website. [11] GNU LGPL v3
13.0 (planned for October, 2019) GNU LGPL v3
  1. "Homepage". Odoo Community Association (OCA).
  2. Moss, Gregory (2015). Working with Odoo. Packt. ISBN 978-1784394554.
  3. Mader, Greg (2015). Financial Accounting with Odoo: Versions 6, 7, and 8. ISBN 1508737568.
  4. Reis, Daniel (2015). Odoo Development Essentials. Packt. ISBN 1784392790.
  5. "OpenERP Release Policy FAQ". doc.odoo.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-03-04. Iliwekwa mnamo 2019-04-12.
  6. "odoo/odoo". GitHub.
  7. "Odoo 9 - More than ever, Odoo has it all". Odoo S.A.
  8. "Odoo Online - A New Version Released in March!". Odoo S.A.
  9. "Plans for Odoo 11". Odoo S.A.
  10. "odoo/odoo". GitHub.
  11. "Odoo 12 Release Notes". Odoo S.A.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]