Nova Scotia
Mandhari
Nova Scotia | |||
| |||
Nchi | Kanada | ||
---|---|---|---|
Mji mkuu | Halifax | ||
Tovuti: http://www.gov.ns.ca/ |
Nova Scotia (jina la Kilatini; kwa Kiingereza: New Scotland; kwa Kigaeli: Alba nuadh; kwa Kifaransa: Nouvelle-Écosse; kwa Kiswahili: Uskoti Mpya) ni jimbo la Kanada upande wa mashariki ya nchi. Limepakana na New Brunswick upande wa magharibi, Bahari Atlantiki upande wa mashariki.
Nova Scotia ni jimbo dogo la pili la Kanada. Ni moja kati ya majimbo 3 ya baharini (kwa Kiingereza: Maritime provinces).
Mji mkuu na mji mkubwa ni Halifax.
Jimbo lina wakazi wapatao 939,531 (2009) katika eneo la kilomita za mraba zipatazo 55,283.
Miji Mikubwa
[hariri | hariri chanzo]- Halifax (372,679)
- Cape Breton (102,250)
- Lunenburg (25,164)
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu maeneo ya Kanada bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Nova Scotia kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |