Nikita Parris
Mandhari
Nikita Josephine Parris (alizaliwa 10 Machi 1994[1]) ni ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Uingereza ambaye anacheza kama mshambuliaji wa klabu ya Ligi ya Juu ya Wanawake ya Manchester United na timu ya taifa ya Uingereza. Hapo awali alichezea klabu ya Daraja la 1 Olympique Lyonnais, Manchester City, Everton na Arsenal.[2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Nikita Parris". www.manutd.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2024-03-07.
- ↑ Creighton, Jessica. "Natasha Jonas: From dinner scraps to Olympic boxing battles", BBC Sport, 6 August 2013.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Nikita Parris kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |