Nagoya
Mandhari
Nagoya | |||
| |||
Mahali pa mji wa Nagoya katika Japani |
|||
Majiranukta: 35°11′00″N 136°54′00″E / 35.18333°N 136.95000°E | |||
Nchi | Japani | ||
---|---|---|---|
Kanda | |||
Mkoa | Aichi | ||
Idadi ya wakazi | |||
- Wakazi kwa ujumla | 2,258,804 | ||
Tovuti: http://www.city.nagoya.jp/ |
Nagoya (名古屋市, Nagoya-shi) ndiyo mji mkuu katika mkoa wa Aichi. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2010, mji una wakazi wapatao milioni 2.3 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 9 kutoka juu ya usawa wa bahari. Eneo lake ni 326.45 km².
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- (Kijapani) (Kiingereza) (Kichina) (Kikorea) (Kihispania) (Kireno) (Kiitalia) {{[[Template:{{{1}}}|{{{1}}}]]}} Tovuti
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu maeneo ya Japani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Nagoya kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |