Nenda kwa yaliyomo

Myles Amine

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Myles Nazem Amine (alizaliwa 14 Desemba 1996) ni mwanamichezo wa michezo wa kupigana wenye asili ya kuangushana kwa kutumia nguvu (mfano wa mieleka). Ali shiriki mashindano ya uzito wa kilo 86. Aliwakilisha San Marino kutokana na uraia wa babu yake[1].katika mchezo wa kupigana wenye asili ya kuangushana kwa kutumia nguvu(mfano wa mieleka) Amine alishinda shaba kwa San Marino katika Olimpiki ya kiangazi pia alidai medali katika michezo na michuano ya Urope.[2][3][4]

  1. Bill Khan. "Brighton's Amine brothers wrestling internationally for San Marino". Livingston Daily Press & Argus (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2021-12-17.
  2. San Marino Rtv (2019-09-21). "Lotta: Myles Amine Mularoni qualificato per Tokyo 2020". San Marino Rtv (kwa Kiitaliano). Iliwekwa mnamo 2021-12-17.
  3. "Lotta libera: Myles Amine conquista il pass per le Olimpiadi di Tokyo • newsrimini.it". newsrimini.it (kwa Kiitaliano). 2019-09-21. Iliwekwa mnamo 2021-12-17.
  4. https://wrestlingtv.in/wrestling-live-meet-myles-amine-san-marinos-first-ever-olympian/