Nenda kwa yaliyomo

My Heart Will Go On

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
“My Heart Will Go On”
“My Heart Will Go On” cover
Single ya Celine Dion
Imetolewa 8 Desemba 1997
Aina pop
Urefu 4:40
Studio Columbia, Epic
Mtayarishaji James Horner, Will Jennings
Mwenendo wa single za Celine Dion
"The Reason"
(1997)
"My Heart Will Go On"
(1997)
"Immortality"
(1998)

"My Heart Will Go On" ni wimbo unaotoka kwa filamu ya Titanic. Ilitayarishwa na James Horner na Will Jennings na kurekodiwa na Celine Dion. Ilikuwa namba 1 kote duniani, ikiwemo nchini Marekani, Uingereza na Australia. My Heart Will Go On ilitolewa nchini Australia na Ujerumani mnamo 8 Desemba 1997; na kote duniani mnamo Januari/Februari 1998.

Historia

[hariri | hariri chanzo]

James Horner alipomaliza kuandika maneno ya wimbo huu, alimchagua Celine Dion kuimba wimbo huu. Hapo awali, Dion alikataa, lakini mumewe, Rene Angelil, alimsihi akubali kuimba wimbo huu.

Mafanikio kwenye chati

[hariri | hariri chanzo]

"My Heart Will Go On" ni wimbo ambao ulivuma sana. Nchini Marekani, ilikuwa namba 1 kwenye chati ya Billboard Hot 100 na ilibaki papo hapo kwa wiki mbili. Ilibaki namba 1 kwa muda ya wiki 10 kwenye Billboard Hot 100 Airplay na pia ilikuwa namba 1 kwa muda ya wiki 2kwenye Hot 100 Singles Sales. Mwishowe, ilithibitishwa gold.

Ilikuwa namba 1 kote duniani, zikiwemo: wiki 15 nchini Uswizi, wiki 13 nchini Ufaransa na Ujerumani, wiki 11 chini Netherlands na Sweden, wiki 10 nchini Belgium, wiki 4 nchini Australia na Austria, wiki2 nchini Spain na Uingereza, na wiki 1 nchini Finland.

Nchini Ujerumani, "My Heart Will Go On" iliuza zaidi ya nakala milioni 2 na ikathibitishwa 4x platinum.[1] Imeuza zaidi ya nakala milioni moja nchini Uingereza na Ufaransa. Thibitisho nyingine ni kama: 3x platinum in Belgium (150,000), 2x platinum nchini Australia (140,000), Netherlands (150,000), Norway (40,000), Sweden (40,000), Switzerland (100,000), platinum nchini Greece (40,000) na gold nchini Austria (25,000).

Orodha ya wimbo

[hariri | hariri chanzo]

European CD single

  1. "My Heart Will Go On" – 4:40
  2. "Because You Loved Me" – 4:33

European CD single #2

  1. "My Heart Will Go On" – 4:40
  2. "My Heart Will Go On" (Tony Moran mix) – 4:21

French CD single

  1. "The Reason" – 5:01
  2. "My Heart Will Go On" – 4:40

French CD single #2

  1. "My Heart Will Go On" – 4:40
  2. "Southampton" – 4:02

French CD single #3

  1. "My Heart Will Go On" – 4:40
  2. "My Heart Will Go On" (Tony Moran mix) – 4:21

Japanese CD single

  1. "My Heart Will Go On" – 4:40
  2. "Beauty and the Beast" – 4:04

UK cassette single

  1. "My Heart Will Go On" – 4:40
  2. "I Love You" – 5:30

U.S. CD single

  1. "My Heart Will Go On" – 4:40
  2. "Rose" (instrumental) – 2:52

Australian/Brazilian/European/UK/Korean CD maxi single

  1. "My Heart Will Go On" – 4:40
  2. "Because You Loved Me" – 4:33
  3. "When I Fall in Love" – 4:19
  4. "Beauty and the Beast" – 4:04

Australian CD maxi single #2

  1. "My Heart Will Go On" (Tony Moran mix) – 4:21
  2. "My Heart Will Go On" (Richie Jones mix) – 4:15
  3. "My Heart Will Go On" (Soul Solution) – 4:18
  4. "Misled" (The Serious mix) – 4:59
  5. "Love Can Move Mountains" (Underground vocal mix) – 7:10

Brazilian CD maxi single #2

  1. "My Heart Will Go On" (Cuca's radio edit) – 4:22
  2. "My Heart Will Go On" (Tony Moran's anthem edit) – 4:21
  3. "My Heart Will Go On" (Richie Jones unsinkable edit) – 4:15
  4. "My Heart Will Go On" (Tony Moran's anthem vocal) – 9:41

European CD maxi single #2 / UK 12" single

  1. "My Heart Will Go On" – 4:40
  2. "My Heart Will Go On" (Tony Moran mix) – 4:21
  3. "My Heart Will Go On" (Richie Jones mix) – 4:15
  4. "My Heart Will Go On" (Soul Solution) – 4:18

Japanese/Korean CD maxi single

  1. "My Heart Will Go On" (Tony Moran mix) – 4:21
  2. "My Heart Will Go On" (Richie Jones mix) – 4:15
  3. "My Heart Will Go On" (Soul Solution) – 4:18
  4. "My Heart Will Go On" (Richie Jones unsinkable club mix) – 10:04
  5. "My Heart Will Go On" (Matt & Vito's unsinkable epic mix) – 9:53

UK CD maxi single #2

  1. "My Heart Will Go On" (soundtrack version) – 5:11
  2. "Have a Heart" – 4:12
  3. "Nothing Broken But My Heart" – 5:55
  4. "Where Does My Heart Beat Now" – 4:32

Toleo rasmi

[hariri | hariri chanzo]
  1. "My Heart Will Go On" (Richie Jones mix) – 4:15
  2. "My Heart Will Go On" (Richie Jones love go on mix) – 4:58
  3. "My Heart Will Go On" (Richie Jones go on beats) – 5:10
  4. "My Heart Will Go On" (Riche Jones unsinkable club mix) – 10:04
  5. "My Heart Will Go On" (Tony Moran mix) – 4:21
  6. "My Heart Will Go On" (Tony Moran's anthem vocal) – 9:41
  7. "My Heart Will Go On" (Soul Solution bonus beats) – 3:31
  8. "My Heart Will Go On" (Soul Solution) – 4:18
  9. "My Heart Will Go On" (Soul Solution percapella) – 4:16
  10. "My Heart Will Go On" (Soul Solution drama at the sea) – 8:54
  11. "My Heart Will Go On" (Matt & Vito's penny whistle dub) – 3:23
  12. "My Heart Will Go On" (Matt & Vito's unsinkable epic mix) – 9:53
  13. "My Heart Will Go On" (Cuca's radio edit) – 4:22
  14. "My Heart Will Go On" (movie dialogue) – 4:41
  15. "My Heart Will Go On" (soundtrack version) – 5:11
  16. "My Heart Will Go On" (alternate orchestra version) – 5:51
  17. "My Heart Will Go On" (TV track) – 3:12
  18. "My Heart Will Go On" (no lead vox) – 4:41
  19. "My Heart Will Go On" (album version) – 4:40
Chart (1997) Peak
position
Australian Singles Chart[2] 1
German Singles Chart[3] 1
Chart (1998) Peak
position
Austrian Singles Chart[4] 1
Belgian Flanders Singles Chart[5] 1
Belgian Wallonia Singles Chart[6] 1
Canadian Singles Chart[7] 14
Canadian Adult Contemporary Chart[8] 1
Danish Singles Chart[9] 1
Dutch Singles Chart[10] 1
European Singles Chart[11] 1
Finnish Singles Chart[12] 1
French Singles Chart[13] 1
Greek Singles Chart[14] 1
Irish Singles Chart[15] 1
Italian Singles Chart[16] 1
Japanese Singles Chart[17] 34
New Zealand Singles Chart[18] 34
Norwegian Singles Chart[19] 1
Spanish Singles Chart[20] 1
Swedish Singles Chart[21] 1
Swiss Singles Chart[22] 1
UK Singles Chart[23] 1
U.S. Billboard Hot 100[24] 1
U.S. Billboard Hot Adult Contemporary Tracks[25] 1
U.S. Billboard Hot Adult Top 40 Tracks[26] 3
U.S. Billboard Hot Latin Pop Airplay[27] 1
U.S. Billboard Hot Latin Tracks[28] 1
U.S. Billboard Latin Tropical Airplay[29] 2
U.S. Billboard Rhythmic Top 40[30] 3
U.S. Billboard Top 40 Mainstream[31] 1
Alitanguliwa na
"You Must Love Me" from Evita
Academy Award for Best Original Song
1998
Akafuatiwa na
"When You Believe" from The Prince of Egypt
Alitanguliwa na
"You Must Love Me" from Evita
Golden Globe Award for Best Original Song
1998
Akafuatiwa na
"The Prayer"
from Quest for Camelot"
Alitanguliwa na
"Sunny Came Home by Shawn Colvin
Grammy Award for Record of the Year
1999
Akafuatiwa na
"Smooth by Santana featuring Rob Thomas
Alitanguliwa na
"Sunny Came Home by Shawn Colvin
Grammy Award for Song of the Year
1999
Akafuatiwa na
"Smooth by Santana featuring Rob Thomas
Alitanguliwa na
"Building a Mystery by Sarah McLachlan
Grammy Award for Best Female Pop Vocal Performance
1999
Akafuatiwa na
"I Will Remember You by Sarah McLachlan
Alitanguliwa na
"I Believe I Can Fly by R. Kelly
Grammy Award for Best Song Written for a Motion Picture, Television or Other Visual Media
1999
Akafuatiwa na
"Beautiful Stranger by Madonna
  1. Musicline.de Die beliebtesten Hits! Gemessen von KW 27/1959 bis KW 2/2010. Chartposition und -wochen werden miteinander verrechnet Ilihifadhiwa 31 Agosti 2004 kwenye Wayback Machine. Musicline.de Retrieved 2010-01-11
  2. Australian Singles Chart
  3. "German Singles Chart". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-04-12. Iliwekwa mnamo 2010-01-22.
  4. Austrian Singles Chart
  5. Belgian Flanders Singles Chart
  6. Belgian Wallonia Singles Chart
  7. Canadian Singles Chart
  8. "Canadian Adult Contemporary Chart". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2015-09-23. Iliwekwa mnamo 2021-03-21.
  9. Danish Singles Chart
  10. Dutch Singles Chart
  11. "European Singles Chart". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2005-03-11. Iliwekwa mnamo 2010-01-22.
  12. Finnish Singles Chart
  13. French Singles Chart
  14. "Greek Singles Chart". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2008-12-27. Iliwekwa mnamo 2010-01-22. {{cite web}}: Unknown parameter |= ignored (help)
  15. Irish Singles Chart
  16. "Italian Singles Chart". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2013-03-09. Iliwekwa mnamo 2010-01-22.
  17. Japanese Singles Chart
  18. "New Zealand Singles Chart". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-05-25. Iliwekwa mnamo 2010-01-22. {{cite web}}: Unknown parameter |= ignored (help); Unknown parameter |https://archive.today/20120525114516/http://charts.org.nz/showitem.asp?interpret= ignored (help)
  19. Norwegian Singles Chart
  20. Spanish Singles Chart
  21. Swedish Singles Chart
  22. Swiss Singles Chart
  23. UK Singles Chart
  24. "Billboard Hot 100". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2008-01-06. Iliwekwa mnamo 2010-01-22.
  25. Hot Adult Contemporary Tracks
  26. "Hot Adult Top 40 Tracks". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2008-06-21. Iliwekwa mnamo 2010-01-22.
  27. Latin Pop Airplay
  28. Hot Latin Tracks
  29. Latin Tropical Airplay
  30. Rhythmic Top 40
  31. Top 40 Mainstream