Nenda kwa yaliyomo

Bondia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Mwanamasumbwi)
Mabondia wa Ugiriki ya Kale (mnamo 1500 BK)

Bondia (pia: mpiga ngumi au mwanamasumbwi) ni mwanamichezo anayetekeleza mchezo wa ngumi.

Bondia ni mtu wa kiume au wa kike anayepigana na bondia mwingine kwa kutumia mikono inayofungwa kwa namna ya ngumi akifuata sheria na kanuni za mchezo huuo Kwa kawaida mabondia huvaa glovu. Kwa mapambano au mechi mabondia hupangwa kwa vikundi au daraja kulingana na uzito wao.

Mara nyingi mabondia hupangwa pia katika sehemu mbili: wale wanaofanya mchezo kwa ajili ya mchezo na wengine wanaocheza kwa kupata pesa. Wanaojulikana zaidi ni mabingwa wa mchezo wa ngumi kwa pesa.

Mabondia

[hariri | hariri chanzo]

Orodha za mabondia

[hariri | hariri chanzo]

Kuna taasisi na tovuti mbalimbali zinazoorodhesha mabondia mashuhuri kulingana daraja.