Nenda kwa yaliyomo

Mvumo wa Afrika

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mvumo wa Afrika
(Borassus aethiopum)
Mivumo ya Afrika
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Plantae (Mimea)
(bila tabaka): Angiospermae (Mimea inayotoa maua)
(bila tabaka): Eudicots (Mimea ambayo mche wao una majani mawili)
(bila tabaka): Rosids (Mimea kama mwaridi)
Oda: Arecales (Mimea kama mpopoo)
Familia: Arecaceae (Mimea iliyo na mnasaba na mpopoo)
Jenasi: Borassus (Mivumo)
Spishi: B. aethiopum
Mart.

Mvumo wa Afrika (pia mvumo peke yake), mtapa au mchapa (Borassus aethiopum) ni mti mrefu wa familia Arecaceae ambao matunda yake (mavumo) yalika. Jani lake huitwa tapa na hutumika kama mwavuli.

Makala hii kuhusu mmea fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mvumo wa Afrika kama uainishaji wake wa kibiolojia, uenezi au matumizi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.