Musti (Tunisia)
Mandhari
Musti au Mustis ulikuwa mji wa kiaskofu katika mkoa wa Afrika ya Kiroma ambapo sasa ni kaskazini mwa Tunisia. Magofu yake, yaitwayo Mest Henshir, yako karibu maili nane kutoka Dougga, karibu na Sidi-Abd-Er-Rebbou. Pia ni jimbo jina la Kanisa Katoliki.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Musti (Tunisia) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |