Nenda kwa yaliyomo

Mto Mhawala

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mto Mhawala ni mto wa Tanzania kaskazini ambao ni tawimto wa mto Wembere unaotiririkia ziwa Kitangiri.