Mto Messinge
Mandhari
11°34′00″S 35°25′00″E / 11.56667°S 35.41667°E
Mto Messinge ni tawimto la mto Rovuma. Kwenye kilomita za mwisho za mwendo wake linafanya mpaka kati ya Msumbiji na Tanzania. [1] Chanzo chake kinapatikana Msumbiji kwenye kimo cha mita 575 juu ya UB kwenye nyanda za juu za Njesi upande wa mashariki wa Ziwa Nyassa.
Messinge inajulikana pia kama "Msinji", zamani ilitajwa kwa jina "M'sinje".