Msaada
Mandhari
Msaada ni huduma au faraja anayopewa mtu anapokuwa na shida au tatizo kama vile ajali, matatizo ya kifamilia, msongo wa mawazo n.k.
Binadamu wote wanahitaji msaada katika maisha yao, hasa mwanzoni na mwishoni. Hivyo ni muhimu kujenga tabia ya kuwa tayari kuutoa na kuupokea vilevile.
Makala bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |