Nenda kwa yaliyomo

Mokgweetsi Masisi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mokgweetsi Masisi

Mokgweetsi Masisi, 2023

Rais wa Botswana
Muda wa Utawala
1 Aprili 2018 – 1 Novemba 2024
Makamu wa Rais Slumber Tsogwane
mtangulizi Ian Khama
aliyemfuata Duma Boko

Muda wa Utawala
1 Aprili 2017 – 4 Aprili 2018
mtangulizi Ian Khama
aliyemfuata Slumber Tsogwane

Makamu wa Rais wa Botswana
Muda wa Utawala
12 Novemba 2014 – 1 Aprili 2018
Rais Ian Khama
mtangulizi Ponatshego Kedikilwe
aliyemfuata Slumber Tsogwane

Mbunge wa Botswana wa
Moshupa / Manyana
Muda wa Utawala
2009 – 1 Aprili 2018
Rais Ian Khama
mtangulizi Maitlhoko Mooka
aliyemfuata Karabo Gare

tarehe ya kuzaliwa 21 Julai 1961 (1961-07-21) (umri 63)
Moshupa, Bechuanaland
(sasa Botswana)
chama Botswana Democratic Party
ndoa Neo Maswabi (m. 2002–present) «start: (2002)»"Marriage: Neo Maswabi to Mokgweetsi Masisi" Location: (linkback://sw.wikipedia.org/wiki/Mokgweetsi_Masisi)
watoto 1
mhitimu wa Chuo Kikuu cha Botswana
Florida State University
Nickname(s) Sisiboy

Mokgweetsi Eric Keabetswe Masisi (amezaliwa 21 Julai 1962) ni Rais wa tano na wa sasa wa Botswana, amehudumu tangu mwaka 2018.

Aliwahi kuwa Waziri wa Elimu tangu mwaka 2014, na hapo awali alikuwa Waziri wa Mambo ya Rais na Utawala wa Umma kuanzia mwaka 2011 hadi 2014. Alichaguliwa kwa Bunge la kwanza mnamo 2009.

Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mokgweetsi Masisi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.