Mkoa wa Songwe
Mandhari
Mkoa wa Songwe |
|
Majiranukta: 2°45′S 32°45′E / 2.750°S 32.750°E | |
Nchi | Tanzania |
---|---|
Wilaya | |
Mji mkuu | Vwawa |
Serikali | |
- Mkuu wa Mkoa | |
Eneo | |
- Jumla | 26,595 km² |
- Kavu | 25,534 km² |
- Maji | 1,061 km² |
Idadi ya wakazi (2022) | |
- Wakazi kwa ujumla | 1,344,687 [1]. |
Tovuti: http://www.songwe.go.tz/ |
Mkoa wa Songwe ni kati ya mikoa 31 ya Tanzania yenye postikodi namba 54100 ukiwa umemegwa kutoka ule wa Mbeya mwaka 2016.[2]
Jina la mkoa limetokana na lile la mto Songwe.
Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi walihesabiwa 1,035,214 [3].
Makao makuu yako Vwawa.
Mkoa huu una halmashauri za[4]: 8
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ https://www.nbs.go.tz
- ↑ "Uchapishaji wa orodha ya Postikodi". Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA). 2016. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2022-07-29.
- ↑ https://www.nbs.go.tz
- ↑ Mwangela, Nicodemas E. (2019). "SONGWE REGION INVESTMENT GUIDE" (PDF). United Nations Development Programme (UNDP) (kwa Kiingereza). Mkoa wa Songwe. ISBN 978-9987-664-01-6. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2022-06-21.
{{cite journal}}
: Unknown parameter|dead-url=
ignored (|url-status=
suggested) (help)
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Mbeya Region Socioeconomic Profile katika TZOnline Archived 7 Machi 2022 at the Wayback Machine. (Kiingereza)
Arusha | Dar es Salaam | Dodoma | Geita | Iringa | Kagera | Katavi | Kigoma | Kilimanjaro | Lindi | Manyara | Mara | Mbeya | Morogoro | Mtwara | Mwanza | Njombe | Pemba Kaskazini | Pemba Kusini | Pwani | Rukwa | Ruvuma | Shinyanga | Simiyu | Singida | Songwe | Tabora | Tanga | Unguja Kaskazini | Unguja Kusini | Unguja Mjini Magharibi |
Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Songwe bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Songwe kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari . Usiingize majina ya viongozi au maafisa wa sasa maana wanabadilika haraka mno |