Maurice Wilkins
Mandhari
Maurice Hugh Frederick Wilkins (15 Desemba 1916 – 5 Oktoba 2004) alikuwa mwanafizikia wa biolojia kutoka nchi ya Marekani. Hasa alichunguza DNA kwa njia ya mionzi ya eksirei. Mwaka wa 1962, pamoja na Francis Crick na James Dewey Watson alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.
Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Maurice Wilkins kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |