Nenda kwa yaliyomo

Maridi (jimbo)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jimbo la Maridi, Sudam Kusini
Maridi State
Mahali paMaridi State
Mahali paMaridi State
Mahali pa Maridi katika Sudan Kusini
Nchi Sudan Kusini
Makao makuu Maridi[1]
Idadi ya kaunti 7
Idadi ya manispaa
Serikali
 - Gavana Louis Lobong Lojore
Idadi ya wakazi (Kadirio la 2014)
 - Wakazi kwa ujumla 148,100

Maridi State ni mojawapo kati ya majimbo 32 yanayounda Sudan Kusini.

Imegawanyika katika kaunti 7: Landili County, Maridi County, Kozi County, Mambe County, Ibba County, Nabanga County na Maruko County.

  1. Nashion, Joseph (16 Februari 2016). "Maridi State Government Releases 40 Youth Previously Arrested In Connection To Rebellion". Gurtong. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-02-17. Iliwekwa mnamo 14 Agosti 2016.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Maridi (jimbo) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.