Mangi Sina
Mandhari
Mangi Sina alikuwa Mangi wa Kibosho aliyepambana sana na Mangi wa Machame katika masuala ya mipaka.
Pia alipambana na Wajerumani waliovamia Afrika Mashariki katika karne ya 19. Ni Mangi pekee wa Kichagga aliyetaka eneo la utawala wake lisiingiliwe na Wajerumani.
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mangi Sina kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Makala haina vyanzo vya kutosha
Makala (au sehemu ifuatayo ya makala) inatoa habari bila kuonyesha vyanzo au uthibitisho wowote.
|