Ludhiana
Mandhari
Ludhiana ni jiji la Jimbo la Punjab nchini Uhindi lenye wakazi milioni 1.6 (2011). Ni mji mkubwa wa ishirini na mbili nchini Uhindi.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu maeneo ya Uhindi bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Ludhiana kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |