Loza Abera
Mandhari
Loza Abera Geinore (ሎዛ አበራ) ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Ethiopia ambaye anacheza kama mshambuliaji kwa klabu ya Virginia Marauders FC wanawake katika ligi ya USL W League nchini Marekani, pia anacheza kwa timu ya taifa ya wanawake ya Ethiopia.
Awali alikuwa akicheza kwa klabu ya Nigd Bank katika Ligi Kuu ya Wanawake ya Ethiopia.[1][2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Ethiopia's National Women's Team Win Over Burkina Faso". www.geeskaafrika.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2024-04-28. Iliwekwa mnamo 2024-04-28.
- ↑ ቴዎድሮስ ታከለ (2019-07-27). "ሎዛ አበራ ለሙከራ ወደ ማልታ ታቀናለች". ሶከር ኢትዮጵያ (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2024-04-28.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Loza Abera kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |