Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
LGBT (au LGBTQIA ) ni kifupisho cha Kiingereza kinachojumlisha watu wanaojiona au kujiita wasagaji, mashoga, wapenzi wa jinsia mbili, wabadili jinsia, kuchu, mahuntha, na wasio na nyege.
Watu hao pengine wanabaguliwa.[1]
- ↑ "Cameroun : Hausse des violences à l'encontre de personnes LGBTI". Human Rights Watch (kwa Kifaransa). 2022-05-11. Iliwekwa mnamo 2022-08-07.