Kwinidi
Mandhari
Kwinidi (500 hivi - 578 hivi) alikuwa askofu wa 8 wa Vaison-la-Romaine, leo nchini Ufaransa, kuanzia mwaka 556 [1].
Kabla ya hapo alikuwa mkaapweke na shemasi.
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 15 Februari[2].
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ http://www.santiebeati.it/dettaglio/41070
- ↑ Martyrologium Romanum
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Saints of February 15: Quinidius Ilihifadhiwa 23 Aprili 2011 kwenye Wayback Machine.
- (Kifaransa) Saint Quenin de Vaison
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |