Nenda kwa yaliyomo

Kusitisha mapigano

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kusitisha Ugomvi ni kitendo cha kuzuia vita[1] kwa mda mfupi ambapo pande zote wankubaliana kuacha vitendo vya ukorofi. Kihistoria hili jambo liliishi kwa kipindi cha umri wakati , ambayo ilijulikana kama “ suluhu ya Mungu” [2]kusitisha mapigano ilitangazwa kama ishara ya kibinadamu kwa awali, kama makubaliano ya kisiasa au dhahiri kwa kusudi la kutatua ugomvi.[3]

  1. Forster, Robert A. (2019), Romaniuk, Scott; Thapa, Manish; Marton, Péter (whr.), "Ceasefires", The Palgrave Encyclopedia of Global Security Studies (kwa Kiingereza), Springer International Publishing, ku. 1–8, doi:10.1007/978-3-319-74336-3_8-2, ISBN 978-3-319-74336-3, iliwekwa mnamo 2022-08-15
  2. Bailey, Sydney D. (1977-07). "Cease-Fires, Truces, and Armistices In the Practice of the UN Security Council". American Journal of International Law (kwa Kiingereza). 71 (3): 461–473. doi:10.2307/2200012. ISSN 0002-9300. {{cite journal}}: Check date values in: |date= (help)
  3. Arkoprabho Hazra (2020-07-17). "Evaluating the Relevance of Ceasefires in Light of the UN Global Ceasefire Quandary". Modern Diplomacy (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2022-08-15.