Kushukia kuzimu
Mandhari
Kushukia kuzimu ni fundisho la imani ya madhehebu mbalimbali ya Ukristo la kwamba Yesu Kristo, baada ya kufa msalabani siku ya Ijumaa kuu na kabla ya kufufuka kwa utukufu usiku wa Pasaka, alishukia kuzimu kwa nguvu ili kutoa roho za waadilifu zilizokuwa zikisubiri ukombozi kutoka kwake.[1]
Msingi katika Biblia ya Kikristo ni hasa dondoo la Waraka wa kwanza wa Mtume Petro 3:18-22 na Waraka wa Mtume Paulo kwa Waefeso 4:9[2] This near-absence in Scripture has given rise to controversy and differing interpretations.[3].
Katika karne za kwanza za Kanisa, imani hiyo inakiriwa na Kanuni ya Imani ya Mitume (Italia) na Ungamo la Imani la Atanasi (Misri). Ilifundishwa pia na Melito wa Sardi, Tertuliani, Hipoliti wa Roma, Origen, Ambrosi n.k.
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Warren, K. M. (1910). "Harrowing of Hell". Catholic Encyclopedia. Iliwekwa mnamo 29 Machi 2013.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ http://www.vatican.va/archive/ccc_css/archive/catechism/p122a5p1.htm| Section 631
- ↑ D. Bruce Lockerbie, The Apostle's Creed: Do You Really Believe It (Victor Books, Wheaton, IL) 1977:53–54, on-line text Archived 2012-07-09 at Archive.today.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- Trumbower, J. A., "Jesus' Descent to the Underworld," in Idem, Rescue for the Dead: The Posthumous Salvation of Non-Christians in Early Christianity (Oxford, 2001) (Oxford Studies in Historical Theology), 91-108.
- Brinkman, Martien E., "The Descent into Hell and the Phenomenon of Exorcism in the Early Church," in Jerald D. Gort, Henry Jansen and Hendrik M. Vroom (eds), Probing the Depths of Evil and Good: Multireligious Views and Case Studies (Amsterdam/New York, NY, 2007) (Currents of Encounter - Studies on the Contact between Christianity and Other Religions, Beliefs, and Cultures, 33).
- Alyssa Lyra Pitstick, Light in Darkness: Hans Urs von Balthasar and the Catholic Doctrine of Christ's Descent into Hell (Grand Rapids (MI), Eerdmanns, 2007).
- Gavin D'Costa, "Part IV: Christ’s Descent into Hell," in Idem, Christianity and World Religions: Disputed Questions in the Theology of Religions (Oxford, Wiley-Blackwell, 2009),
- Georgia Frank, "Christ’s Descent to the Underworld in Ancient Ritual and Legend," in Robert J. Daly (ed), Apocalyptic Thought in Early Christianity (Grand Rapids (MI), Baker Academic, 2009) (Holy Cross Studies in Patristic Theology and History), 211-226.
- Hilarion Alfayev, Christ the Conqueror of Hell: The Descent into Hades from an Orthodox Perspective. St Vladimirs Seminary Pr (November 20, 2009)
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Wikimedia Commons ina media kuhusu:
- Catholic Encyclopedia: Harrowing of Hell
- Encyclopædia Britannica: Harrowing of Hell Archived 26 Desemba 2012 at the Wayback Machine.
- Gospel of Nicodemus: Descensus Christ ad inferos
- The Gospel of Nicodemus including the Descent into Hell
- Harrowing of Hell Archived 14 Machi 2012 at the Wayback Machine. in the Chester Cycle
- Le Harrowing of Hell dans les Cycles de York, Towneley et Chester Archived 6 Mei 2006 at the Wayback Machine., by Alexandra Costache-Babcinschi (ebook, French)
- Lord's Descent into Hell, The
- Russian Orthodox iconography of the Harrowing of Hell
- Summa Theologica: Christ's descent into hell Archived 30 Septemba 2007 at the Wayback Machine.
Makala hii kuhusu dini ya Ukristo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kushukia kuzimu kama historia yake, matokeo au athari zake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |