Kristinehamn
Mandhari
Kristinehamn ni mji na manispaa nchini Uswidi. Kuna wakazi 17,836 (mwaka 2005). Iko kando ya Ziwa Vänern.
Jiografia
[hariri | hariri chanzo]Eneo lake ni 13.42 km².
-
Kanisa la Kristinehamn
-
Makumbusho ya Sanaa ya Kristinehamn
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu maeneo ya Uswidi bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Kristinehamn kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |