Nenda kwa yaliyomo

Kitunguu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kitunguu
(Allium cepa)
Vitunguu vyekundu
Vitunguu vyekundu
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Plantae (Mimea)
(bila tabaka): Angiospermae (Mimea inayotoa maua)
(bila tabaka): Monocots (Mimea ambayo mche wao una jani moja)
Oda: Asparagales (Mimea kama asparaga)
Familia: Alliaceae (Mimea iliyo mnasaba na kitunguu)
Jenasi: Allium
L.
Spishi: A. cepa
L.

Kitunguu (Allium cepa) ni aina ya tunguu la kulika ambalo hupandwa kila mahali pa dunia. Spishi A. cepa haitokei porini. Spishi za pori yenye nasaba ya karibu sana ni A. vavilovii na A. asarense.

Aina yenye rangi ya zambarau huitwa kitunguu maji. Aina hiyo hufikiriwa kutibu maradhi arobaini, ambayo miongoni mwao ni joto la mwili kwa ujumla na mbegu za uzazi zilizokuwa za moto.

Makala hii kuhusu mmea fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kitunguu kama uainishaji wake wa kibiolojia, uenezi au matumizi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.