Kisiwa cha Ulenge
Mandhari
Kisiwa cha Ulenge ni kisiwa kimojawapo cha mkoa wa Tanga, nchini Tanzania, ambacho kinapatikana katika Bahari ya Hindi. Mnara wa Taa kisiwani ulijengwa wakati wa ukoloni wa Kijerumani mwaka wa 1894[1]. Karibu na mnara wa taa, lilikuwa jengo la kupata nafuu na kupona baada ya udhaifu uliosababishwa na ugonjwa wakawapata wazungu[2].
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Lighthouses of Tanzania". www.ibiblio.org.
- ↑ "Deutsche Kolonialzeitung : Organ der Deutschen Kolonialgesellschaft". 8 Des 1922 – kutoka sammlungen.ub.uni-frankfurt.de.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu maeneo ya Tanzania bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Kisiwa cha Ulenge kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno. |